Skip to content
  • MASHAIRI YA WANYAMA – Swahili Hadithi_5e

Oxford

MASHAIRI YA WANYAMA – Swahili Hadithi_5e

KES 296

Cover
1 × KES 296
KES 296
Total
KES 296

Checkout opens on 19 October.

Ask about this on WhatsApp

About this product

Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni … ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya kupendeza kinalenga kuwasaidia wanafunzi kutambua sifa na umuhimu wa wanyama mbalimbali. Kadhalika kitabu hiki kitawafunza wanafunzi kusoma na kufurahia ushairi.Mashairi ya Wanyama ni mojawapo ya vitabu katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na Kozi ya Kiswahili Sanifu. ISBN: 9780195739848

Details

Publisher
Oxford
Subject
Kiswahili
Product code
TXBK-HADI5-GRD5-KISW-OXFO-SHEM
See all
Chat on WhatsApp