Skip to content
  • SAFARI YA MASKAUTI – Swahili Hadithi_5d

Oxford

SAFARI YA MASKAUTI – Swahili Hadithi_5d

KES 296

Cover
1 × KES 296
KES 296
Total
KES 296

Checkout opens on 19 October.

Ask about this on WhatsApp

About this product

Kaendi na nduguye, Mkangi. wanazidivva na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, vvanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Suleiman … ni yapi yatajiri baada ya haya?Safari ya Maskauti ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. ISBN: 9780195738278

Details

Publisher
Oxford
Subject
Kiswahili
Product code
TXBK-HADI4-GRD5-KISW-OXFO-SHEM
See all
Chat on WhatsApp