Skip to content
  • SI KUPENDA KWAKE – Swahili Hadithi_3b

Oxford

SI KUPENDA KWAKE – Swahili Hadithi_3b

KES 249

Cover
1 × KES 249
KES 249
Total
KES 249

Checkout opens on 19 October.

Ask about this on WhatsApp

About this product

Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. ISBN: 9780195730654

Details

Publisher
Oxford
Subject
Kiswahili
Product code
TXBK-HADI2-GRD3-KISW-OXFO-SHEM
See all
Chat on WhatsApp