Skip to content
  • KISWAHILI DADISI – GRADE 4

Oxford

KISWAHILI DADISI – GRADE 4

KES 708

Cover
1 × KES 708
KES 708
Total
KES 708

Checkout opens on 19 October.

Ask about this on WhatsApp

About this product

‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika ‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 4, utapata: Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya. Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika. Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji. Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja. Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji. Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’. ISBN: 9780195747867

Details

Publisher
Oxford
Subject
Kiswahili
Product code
TXBK-LBK-GRD4-KISW-OXFO-SHEM
See all
Chat on WhatsApp