Oxford
KISWAHILI DADISI- GRADE 6
KES 731
- 1 × KES 731
- KES 731
- Total
- KES 731
Checkout opens on 19 October.
About this product
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. ISBN: 9780195749144
Details
- Publisher
- Oxford
- Subject
- Kiswahili
- Product code
- TXBK-LBK-GRD6-KISW-OXFO-SHEM
More from Textbooks
See all